0657128567

Mwanza Tanzania,

Karibu Sana Kwenye Mtandao huu Wa Shule Tanzania

Showing posts with label VITABU. Show all posts
Showing posts with label VITABU. Show all posts

Monday, January 15, 2018

USHUHUDA WA WALIOJARIBU KUFANYIA KAZI MAFUNZO YA KITABU CHA MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI.

Habari rafiki yangu mpenda maendeleo, naamini uko vizuri na unaendelea na harakati za kuboresha maisha yako.

Leo napenda kukuletea shuhuda za baadhi ya watu ambao wamepata elimu ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani kupitia kwenye kitabu changu cha MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI na wamefanikiwa kutengeneza products hizo na wamenitumia picha za bidhaa zao na kunipongeza kwa kuwasaidia kufikia hatua hiyo.

Picha zifuatazo ni baadhi ya picha ambazo nimetumiwa, ziangalie na wewe uhamasike kujaribu kutengeneza bidhaa yako, huwezio jua kesho unaweza kutengeneza bidhaa ikawa maarufu na ikawa ndo biashara yako na ikakutoa kimaisha

Asante sana kaka, namshukuru Mungu kupitia kitabu chako nimeweza sasa kutengeneza sabuni ya mche na ina povu jingi sana na imeanza kupendwa sana na watu wanaonizunguka. Nashukuru kwa kunisaidia kupata kazi kwani nimehangaika muda mrefu bila ajira na sasa nimepata cha kufanya naamini itanirahisishia maisha kabisa. Asante sana na Mungu akubariki.

" Kaka nimejaribu kutengeneza sabuni kulingana na maelekezo niliyoyapata kwenye kitabu chako  cha MILIKI KIWANDA na sasa nimeweza kufanya vizuri na nategemea nikirudia nitazidi kufanya vizuri zaidi. asante sana na Mungu akubariki kwa kazi yako ya kuelimisha umaa"
Kaka hii ndo kazi yangu, nimefanikiwa kutengeneza na iko vizuri sana, tatizo liko kwenye kukata sabuni, naomba usichoke kunielekeza, natamani kufanya zaidi ya hapa. Asante sana kwa msaada wako, kitabu chako kimekuwa na msaada mkubwa sana.
Kaka wewe ni mtu hatari sana, natamani watanzania wote wangeweza kujifunza kutoka kwako, umenisaidia sana na sasa ninaanza kuingia sokoni na sabuni yangu imekaa vizuri sana, Mungu akubariki sana ndugu yangu.
 
Kaka nashukuru sana kitabu chako kimenisaidia sana na sasa nimeanzakutengeneza sabuni ya Unga na imetoa povu jingi sana mpaka nimejidharau sana, kumbe mambo haya huwa yanawezekana mtu kutengeneza mwenye we nyumbani, nashukuru sana umenipatia ajira. Mungu akubariki sana Kaka.

Hizo ni baadhi ya shuhuda za watu ambao wamejaribu kufanyia kazi walichokisoma kutoka kwenye kitabu changu cha MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI. 
Naamini siku si nyingi tutakuwa na watu wanamiliki viwanda vyao nyumbani kwao na watakuwa wanatengeneza pesa bila shida kabisa. Kama na wewe ungependa kujifunza ujuzi huo, basi huna budi kupata copy yako ya kitabu hiki, kitakusaidia sana na baada ya hapo tuendelee kuwasiliana ili tuweze kusaidiana pale unapokwama.

kama unapenda kupata kitabu hicho, basi BONYEZA HAPA kukipakua kitabu hicho.

Asante sana na nikutakie siku njema katika kupiga vita umaskini.

Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako;


PIUS JUSTUS MULIRIYE
0754745798



Wednesday, October 4, 2017

VITABU MUHIMU KWAKO

Habari rafiki na mfatiliaji wa mtandao wangu wa www.shuletanzania.info na THINK BIG START SMALL napenda kukujulisha kuwa, kwa wale ambao wamekuwa wakinunua vitabu vyangu mbalimbali direct kutoka kwangu sasa nina habari njema kwako. Ili kuepuka usumbufu wa kukucheleweshea kitabu chako au kukuondolea usumbufu wa kuwasiliana nami kila unapohitaji kitabu changu basi nimekuletea huduma mpya ya kuweza kununua na kudownload moja kwa moja kupitia link hizi hapa chini;

(MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI) Bonyeza https://www.becapi.com/home/view_material_listing/17












(JINSI YA KUTENGENEZA KIPATO KWA KUTUMIA MTANDAO WA INTERNET & BLOG) Bonyeza https://www.becapi.com/home/view_material_listing/50












(FACEBOOK MASOKO: JIFUNZE JINSI YA KUTANGAZA BIASHARA KWENYE MTANDAO WA FACEBOO) Bonyeza https://www.becapi.com/home/view_material_listing/16












(JINSI YA KUTENGENEZA CHAKI NYUMBANI KWAKO) Bonyeza https://www.becapi.com/home/view_material_listing/31


(EDUCATIONAL RESEARCH GUIDE) Bonyeza https://www.becapi.com/home/view_material_listing/30











(SIMPLE SURVEYING AND MAP MAKING) Bonyeza https://www.becapi.com/home/view_material_listing/22











Unaponunua kitabu kimojawapo hapo na ukipata swali lolote tafadhari niandikie whatsapp 0754745798 nitakujibu.
endelea kutembelea blog yangu ya www.shuletanzania.info

ASANTENI SANA.

Thursday, April 20, 2017

CHA MIND IS THE MASTER KEY TO THE WORLD


CHA MIND IS THE MASTER KEY TO THE WORLD

Mind is the master key to the world ni kitabu kilichoandikwa na James Allen,kiukweli ni kitabu ambacho kimezungumzia sana kuhusu akili na mawazo kuna mengi ambayo nimejifunza kutoka kwenye kitabu hicho lakini nikupe nafasi wewe msomaji wa makala hizi kujua miongoni mwa machache ambayo nilijifunza kutoka kwenye kitabu hicho






















1.Mawazo yako ndio uhalisia wa maisha yako

   Kila mtu anamawazo lakini utofauti wa mtu mmoja na mtu mwingine ni jinsi ambavyo kila mtu anawaza na maisha ya mtu mmoja na mtu mwingine hutofautiana tu kwa jinsi ambavyo watu wanawaza unaweza kuamua kuwaza vizuri au kuwaza vibaya,vyovyote utakavyoamua kuwaza ndivyo maisha yako yatakuwa hivyo,nakushauri uchague kuwaza mambo mazuri ili maisha yako yawe mazuri sio kwamba mabaya hayatakuja la hasha bali chagua mawazo mazuri.

2.Jinsi tulivyo ni matokeo ya fikra zetu

   nikweli kabisa jinsi ulivyo ndivyo unavyowaza,kwaiyo kama unataka kubadilisha jinsi ulivyo badilisha jinsi ambavyo unawaza na hii iko mikononi mwako hata kama ni ngumu kiasi gani lakini unaweza kuanza kujifunza kuwa na fikra nzuri

3.Kila mawazo unayowaza ni nguvu ambayo hutolewa nje kama maisha halisi

4.Fikiria mawazo mazuri yatajitokeza nje kama hali nzuri

   haijalishi leo uko kwenye hali gani lakini unachotakiwa kufanya ni kufikiria fikra nzuri,kama unaumwa weka fikra za kupona,kama unamaumivu weka fikra za maumivu kupotea,kama unashida weka fikra za kufanikiwa na hayo ndio yatatokea kwako.

5.Ukibadilisha mtazamo kuhusu watu wengine na wao watabadilisha mtazamo kuhusu wewe

6.Magonjwa yote duniani chanzo chake ni kwenye akili

7.Fikra sahihi ukiongeza na matendo sahihi unachopata kwenye maisha yako ni matokeo sahihi

8.Wajinga wanapenda kupiga domo na kulalamika,wenye akili wanafanya kazi na kusubiri matokeo ya kazi zao yatokee

9.Wewe ni mtengenezaji wa hatma ya maisha yako,maana kwamba hatma ya maisha yako iko mikononi mwako ni wewe tu kuamua kuchukuwa hatua kuyaendea yale ambayo yatatimiza ndoto zako.

10.Ubinafsi ni chanzo cha kutokuwa na furaha kwenye dunia,lakini pia ubinafsi ni chanzo cha umasikini kwenye dunia,hakuna sababu ya wewe kuwa mbinafsi maana utakufa masikini bure,msaidie kila mtu kukuwa,msaidie kila mtu kunyanyuka maana kiala ambae ananyanyuka kupitia mikono yako wewe unabarikiwa zaidi.

11.Kila anachokifikia mwanadam na kile ambacho anashindwa kukifikia kwenye maisha yake ni matokeo ya fikra zake.jitahidi sana kufikiria fikra ambazo zitakuletea mafanikio mbayo wewe unayataka haijalishi leo uko kwenye hali gani mbaya lakini wewe waza fikra zenye kukuletea nafuu utaona nafuu inaanza kujengeka ndani yako na kupata kile unachohitaji.

12.Kisiwa cha baraka ni tabasam,hakikisha maisha yako yanabebwa na tabasamu maana utabarikiwa kama utakuwa na tabasam

13.Nikweli tunapitia shida na matatizo lakini mwisho wa siku ni kwenda kwenye pumziko,shida unazopitia leo sio za milele zinapita tu kwaiyo usikate tamaa katika maisha yako kabisa.


UNAWEZA KUSIKILIZA VIDEO HII INAYOFUNDISHA JINSI YA KUTENGENEZA BIDHAA MOJAWAPO KATI YA NYINGI ZILIZOPO KWENYE KITABU CHA #MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI.


Wednesday, April 12, 2017

VITABU VYA MASOMO YOTE YA SEKONDARI


Jipatie kitabu hiki cha Geography form five kinachoendana na syllabus ya sasa.

kitabu hiki kinapatikana kwa mfumo wa PDF ambao unaweza kusoma kwenye simu yako.

kwa Tsh. 1000/= tu utajipatia kitabu hiki.

Tuma pesa kwenda MPESA 0754745798 au TIGO PESA 0657128567 kwa majina ya PIUS MULIRIYE.
Kisha nitumie text whatsapp nikutumie kitabu chako.

KARIBU SANA. 




Sunday, December 25, 2016

HERI YA X-MASS NA MWAKA MPYA WA 2017


Mimi kama C.O wa blog ya www.shuletanzania.info na facebook page ya THINKBIGSTARTSMALL napenda kuchukua fursa hii kuwatakia sikukuu njema wote wanofatilia makala zangu mbalimbali kwenye blog yangu ya www.shuletanzania.info na niwatakie mafanikio makubwa mwaka ujao 2017.

Nipigie simu kwa ushauri,  kama umejaribu kujikwamua kimaisha na bado umeshindwa,  nitakushauri na utaweza kuamka tena.
Kama utahitaji kushauliwa kuhusu kufanya biashara katika mtandao na hujui uanzie wapi,  nipigie nikusaidie mawazo,  ninaamini utafanikiwa na utaanza kupata faida na mtandao kama facebook,  whatsapp,  twitter na blog.


Asanteni sana na ushirikiano wenu.

Wasiliana nami kwa namba hizi,

Pius Justus Muliriye
0754745798
0657128567

Wednesday, December 21, 2016

USIKUBALI MWAKA MWINGINE UPITE, KESHO HUJENGWA NA LEO, CHUKUA HATUA.


Hii ni njia nyingine unayoweza kupitia kutengeneza kipato zaidi.  Jifunze jinsi ya kutengeneza bidhaa zinazohitajika kwa wingi na jamii inayokuzunguka.

ShuleTanzania inakuletea kitabu ambacho kitakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza chaki zinazotumika mashuleni.  Bidhaa hii ina soko kubwa sana hapa nchini,  hii ni kwa sababu kuna utitili wa shule nyingi sana na zote zinatumia chaki,  na utaweza kutengeneza zaidi ya Sh. 60,000/- hadi 90,000/- kwa carton ukifanya biashara na shule,  ukipiga hesabu kwa carton 100 tu utapata pesa kiasi gani.

UNASUBIRI NINI KUCHUKUA HATUA?

Jipatie copy yako kwenye simu yako na ujifunze,  utafata procedures kwenye kitabu na utaweza kutengeneza vizuri kabisa.

Katika kitabu utakutana na vitu vifuatavyo:-

📒Hatua za kufuata kabla ya kuanza uzalishaji.

📒Maeneo yanapopatikana material ya kutengenezea chaki

📒Maeneo utakapopata mashine ndogo ambayo haitumii umeme na bei yake.

📒Jinsi ya utengenezaji wa chaki zenyewe na jinsi ya uchanganyaji wa malighafi hizo.

📒Jinsi ya kufanya packaging na wapi utapata vifungashio

📒Jinsi ya kupata masoko na jinsi ya kutangaza biashara yako bila gharana kabisa.

📒Makadilio ya gharama za uendeshaji na faida yake baada ya mauzo.

📒Na utajifunza njia za kufuata kupata mtaji.

KARIBU ujipatie nakala yako,  nakala hii ipo katika nfumo wa kielectronic,  au PDF,  utatumiwa kwenye simu yako kupitia email au whatsapp.

Utapata nakala yako kwa Sh. 5000/- tu na utaingizwa kwenye group la whatsapp ambalo nitafundisha jinsi ya kutengeneza chaki hizi na faida yake.

 USIKUBALI MWAKA MWINGINE UISHE BILA KUCHUKUA HATUA YA KUBADILI MAISHA YAKO.




Wasiliana nasi
Pius Justus Muliriye
0754745798 - Whatsapp
0657128567
piusjustus28@gmail.com
JIUNGE NAMI UPOKEE MAKALA KILA IWEKWAPO MTANDAONI