Furaha yangu ni kuona tunakwenda pamoja mwaka 2018. Lengo kuu ni kuona tunafikia ndoto zetu haraka iwezekanavyo. Ni muda wa kuacha kuweka malengo yasiyofikika, ni muda wa kuchukua hatua sasa.