0657128567

Mwanza Tanzania,

Karibu Sana Kwenye Mtandao huu Wa Shule Tanzania

Thursday, August 24, 2017

MAFANIKIO HAYAJI KWA KUYAONGELEA TU.

"Mafanikio hayaji kwa kuyaongelea sana lakini ni kwa kuanza kuchukua hatua sehemu unayoongelea kufanikiwa".

Hauwezi kufanikiwa katika biashara bila kuwa kwenye biashara.Maneno hayawezi kukufanya kuwa mshindi mpaka uingie kwenye kukifanya unachokisema mfano wanajeshi hawawezi kushinda ikiwa hawapo vitani, mkulima hawezi kuvuna bila kuamua kulima na kutunza shamba lake baada ya kupanda, mwanafunzi hawezi kufauli au kufeli bila kufanya mtihani.




PIUS JUSTUS MULIRIYE
0754745798
0657128566
piusjustus28@gmail.com

No comments:
Write comments

JIUNGE NAMI UPOKEE MAKALA KILA IWEKWAPO MTANDAONI